Ripoti hii ya picha inaonyesha mandhari mbalimbali za kufika kwa wahudumu wa Haram Tukufu ya Alawi katika Haram ya Amirul Muuminiin (Amani iwe juu yake) na kutoa pongezi kwa munasaba wa kuzaliwa kwa Mtume Mkuu (Rehema na amani za Allah ziwe juu yake na Aali zake) na Imam Sadiq (Amani iwe juu yake).





