Most searched:

Tamasha la Kimataifa la Ushairi wa Kiarabu la “Mtume Mkuu” Laanza katika Haram Tukufu ya Alawi

Tamasha la Tano la Kimataifa la Ushairi wa Kiarabu la Mtume Mkuu (Rehema na amani za Allah ziwe juu yake na Aali zake) limeanza.

Tamasha la Tano la Kimataifa la Ushairi wa Kiarabu la Mtume Mkuu (Rehema na amani za Allah ziwe juu yake na Aali zake) limeanza kwa kuhudhuriwa na washairi kutoka Iraq na nchi za Kiarabu, huku Atabatu Tukufu ya Alawi ikiwa mwenyeji wa tamasha hilo.

Yaliyomo zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *