Vipengele muhimu
Muhtasari wa matukio muhimu na yanayojiri katika Haram ya Imam Ali
Tuzuru niaba yako
"*" indicates required fields
Haram takatifu
Pa utakatikfu na heshima Kwa
amiir al muuminiin Ali
Amiri wa waumini
Utangulizi wa maisha na mwenendo wa Imam Ali
مِنْ كَفَّارَاتِ الذُّنُوبِ الْعِظَامِ إِغَاثَةُ الْمَلْهُوفِ وَ التَّنْفِيسُ عَنِ الْمَكْرُوبِ
Miongoni mwa kafara za dhambi kubwa ni kumnusuru mwenye dhiki na kumuondolea huzuni mwenye taabu.
Nahjul Balagha, Hekima ya 24
Habari mpya
Idara ya Habari ya Atabatu Tukufu ya Alawi iliutambulisha ujumbe wa vyombo vya habari wa Atabatu Tukufu ya Kaadhimayn kwa uzoefu na uwezo wake wa kiufundi.