Katika usiku wa shahada ya Imam Hassan al-Askari (amani iwe juu yake), waombolezaji waliokuwepo mjini Samarra walifanya maombolezi kwa machozi na huzuni kutokana na msiba wa Imam huyo mtukufu.
Nchini Iraq, siku ya Jumamosi inaangukia tarehe 8 Rabiul-Awwal, siku ya shahada ya Imam Hassan al-Askari (amani iwe juu yake).








