Kufuatia kuwadia kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Hasan Askari (amani iwe juu yake), hafla ilifanyika kwa ushiriki wa mazuwaru wa Amiri wa Waumini (amani iwe juu yake).
Nchini Iraq, tarehe 11 Rabi al-Thani hutambuliwa kuwa siku ya kuzaliwa kwa Imam Hasan Askari (amani iwe juu yake).








