Amirul Muuminina (amani iwe juu yake) anasema:
“Ubakhili ni aibu na uwoga ni upungufu. Umaskini na ukata humfanya mtu mwerevu kuwa bubu katika kueleza hoja yake, na maskini huwa mgeni katika mji wake mwenyewe.”
Chanzo
Hekima ya tatu kutoka Nahjul Balagha