Most searched:

Busara Katika Fitina

Amirul Muuminina (amani iwe juu yake) anasema:

“Wakati wa kutokea kwa fitina, kuwa kama ngamia mwenye umri wa miaka miwili, ambaye hana mgongo wenye nguvu wa kupandwa, wala hana kiwele cha kuweza kukamiwa maziwa.”

Chanzo

Hekima ya kwanza kutoka Nahjul Balagha